News

Posted On: Sep, 01 2020

HOTUBA UZINDUZI WA CMUHL 2020

News Images

Mamlaka, leo inazindua Shindano kwa Wanafunzi wa Vyuo vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu (Yaani the Capital Markets Universities and Other Higher Learning Institutions Challenge) kuhusu kujenga uelewa na ueledi wa uwekezaji katika masoko ya mitaji, kwa kutumia teknojia ya mitandao ya kielektroniki yaani simu za mikononi na intaneti. Shindano hili llinafunguliwa leo tarehe 04 Agosti na litahitimishwa tarehe 31 Oktoba 2020. Shindano hili limegawanyika katika sehemu kuu mbili, ambazo ni (shindano la maswali na majibu - Quiz Competition) na (Shindano la kuandika Insha - Essay Competition).Pakua