Webmail  |  Contact Us  |  Career   |  Sitemap

resized 88_Simiyu NMB_bond DCB_LISTING_GROUP_PHOTO UnivChall3 UnivChall01

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Bw. Nicodemus Mkama akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa huduma mpya ya Usimamizi wa Dhamana (Custodial Management Services) wa I&M Bank Tanzania. Uzinduzi wa huduma hii umefanyika tarehe 26/08/2019 jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wateja na wadau mbalimbali wa benki hiyo.

The retired Prime Minister Honorable Mizengo Peter Pinda signing the visitors book when he toured the CMSA pavilion during the ongoing national agricultural show being held in Simiyu region. He is accompanied by the Mara Regional Commissioner Honorable Adam Malima on the left

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Bwana Nicodemus Mkama akipiga kengele kama ishara ya kuorodheshwa kwa toleo la tatu la Hati Fungani ya benki ya NMB katika Soko la Hisa la Dar es Salaam. Wakishuhudia tukio hilo kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Soko la Hisa la Dar es Salaam Bwana Moremi Marwa, Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bi Ruth Zaipuna na Mkuu wa Uhusiano na Uwekezaji wa Benki ya Stanbic Bwana Manzi Rwegasira. 

Naibu waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Ashantu Kijaji pamoja na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji Nicodemus Mkama, Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Moremi Marwa na Mwenyekiti wa bodi ya Benki ya DCB Prof Lucian Msambichaka wakiwa katika picha ya pamoja katika hafla ya kuorodhesha hisa za nyongeza za Benki ya DCB (DCB Rights Issue) katika soko la hisa iliyofanyika Ijumaa tar 17.05.2019

Top 3 winners of the Capital Markets Universities and Higher Learning Institutions Challenge 2018 in a group photo with staff of Capital Markets Brokers (CMB) Ltd which is one of the brokerage companies and CMSA CEO Nicodemus Mkama in the middle during a one week study visit hosted by Financial Services Commission (FSC) Mauritius

The Minister for Finance and Planning Dr. Philip Mpango (center in red tie) presenting the first prize to the top winners of the Capital Markets Universities and Higher Learning Institutions Challenge during the award giving ceremony that was held on October 2018. On his left is the CMSA’s Board Chairman Dr. John Mduma and the Chief Executive Officer Mr. Nicodemus Mkama

CSMA Shares
 

The Capital Markets and Securities Authority (CMSA) is a Government Agency established to promote and regulate securities business in the country. It was established under Capital Markets and Securities Act, 1994.
The legal framework for the regulation of the securities industry is the Capital Markets and Securities Act, 1994 [Act No: 5 of 1994 as amended by Act No: 4 of 1997]. The Act is supplemented by various regulations that are promulgated by the Minister for Finance.  Read more..

regulation